YEMEN: WAASI WAIKASHIFU SAUDI ARABIA

YEMEN: WAASI WAIKASHIFU SAUDI ARABIA

Like
251
0
Monday, 20 April 2015
Global News

HOSPITALI kwenye mji wa bandari wa Yemen, Aden zimeripotiwa kuishiwa na bidhaa muhimu za matibabu wakati mapigano kati ya vikosi vya serikali vinavyoungwa mkono na Saudi Arabia na waasi wa Shia wa Houthi yanaongezeka.

Makundi ya kutoa huduma za matibabu yamelemewa na idadi ya wagonjwa wanaolazwa na yametoa wito kwa dawa zaidi na vifaa vingine vya matibau.

Kiongozi wa waasi ameikashifu Saudi Arabia kwa kujaribu kuivamia na kuiteka nchi ya Yemen.

 

Comments are closed.