YEMEN: ZAIDI YA WATU 500 WARIPOTIWA KUUAWA KWENYE MAPIGANO YA HIVI KARIBUNI

YEMEN: ZAIDI YA WATU 500 WARIPOTIWA KUUAWA KWENYE MAPIGANO YA HIVI KARIBUNI

Like
343
0
Tuesday, 07 April 2015
Global News

SHIRIKA la Afya Duniani limetoa takwimu zinazosaidia kuelewa wa mgogoro uliopo nchini Yemen.

Shirika la WHO limesema Zaidi 500 wameuawa katika mapigano ya wiki za hivi karibuni, na kwamba watu wapatao elfu moja na mia saba wamejeruhiwa katika mapigano hayo.

Waasi kama “Houthi” na washirika wao wanapambana na majeshi ya Rais ABD RABBU MANSOUR HADI ambaye anaungwa mkono na jeshi la linaloongozwa na Saudi Arabia.

Comments are closed.