ZAIDI YA ASILIMIA 15 YA WANAWAKE NCHINI HUFANYIWA VITENDO VYA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

ZAIDI YA ASILIMIA 15 YA WANAWAKE NCHINI HUFANYIWA VITENDO VYA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Like
279
0
Tuesday, 08 December 2015
Local News

IMEELEZWA  kuwa zaidi ya asilimia  15 ya wanawake  nchini wamekuwa wakifanyiwa vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia .

Hayo yamebainishwa jana Jijini  Dar es alaamu  na mkuu wa program  wa mtandao wa jinsia  TGNP  Sikola  Makwaiya  wakati wa  maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili  wa  kijinsia  ambapo amesema zaidi ya wanawake Elfu 15 nchini  sawa na asilimia 15 hukumbwa na vitendo vya unyanyasaji wa kijimsia.

Makwaiya  ametaja baadhi ya mikoa inayoongoza  kwa vitendo hivyo kuwa ni  Shinyanga, Mara na Dodoma.

Comments are closed.