ZAIDI YA WATU LAKITANO KUFANYIWA UPASUAJI VIKOPE CHINI YA WIZARA YA AFYA KANDA YA KASKAZINI

ZAIDI YA WATU LAKITANO KUFANYIWA UPASUAJI VIKOPE CHINI YA WIZARA YA AFYA KANDA YA KASKAZINI

Like
191
0
Tuesday, 21 July 2015
Local News

WIZARA ya Afya na ustawi wa jamii inatarajia kuwafanyia upasuaji vikope zaidi ya watu laki tano nchini kipindi kifupi kijacho katika eneo la Kanda ya Kaskazini kufuatia Wilaya za Arusha kuongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi wa Trkoma.

Hayo yamesemwa na mratibu wa kitaifa wa mpango wa magonjwa yasiyopewa kipaumbele dokta Upendo Mwingira wakati akiwapokea wageni kutoka shirika lisilo la kiserikali la Ending Neglected Disease la nchini Marekani.

Akizungumza na kituo hiki Jijini Sinya Longido dokta Mwingira amesema zoezi hilo la upasuaji limepangwa kufanyika mwezi wa kumi na litatekelezwa na halmashauri zenazokabiliwa na wagonjwa wa Trakoma kwa kiasi kikubwa.

Comments are closed.