ZANZIBAR YAAZIMISHA MIAKA 51 YA MAPINDUZI MATUKUFU

ZANZIBAR YAAZIMISHA MIAKA 51 YA MAPINDUZI MATUKUFU

Like
786
0
Monday, 12 January 2015
Local News

 LEO Wazanzibar wanaadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu yaliyofanyika January 12 mwaka 1964.

Pamoja na hali hiyo bado Tanzania kama Taifa linaloundwa na Visiwa vya Zanzibar na Tanganyika wana kila sababu ya kujadili hali na mwenendo wa Taifa hili.

Katika siku za hivi karibuni wameshuhudia matukio mabaya yanayoashiria uvunjifu wa Amani Visiwani humo na wakati mwingine hata raia wasiokuwa na hatia kupoteza maisha.

SHEN2

SHEN3

 

SHEN4

 

Comments are closed.