ZARI AMKEJELI IVAN NA KUNDI LA RICH GANG KUFUATIA VURUGU ZA KIBAGUZI SA

ZARI AMKEJELI IVAN NA KUNDI LA RICH GANG KUFUATIA VURUGU ZA KIBAGUZI SA

Like
330
0
Monday, 20 April 2015
Entertanment

Zari the boss amkejeli alikewahi kuwa mpenzi wake Ivan Ssemwanga pamoja na kundi lake la Rich Gang kupitia akaunti yake ya twitter kwakupost kibonzo chenye caption ya maneno yanayoonekana kuwalenga matajiri hao.

Kibonzo hicho kinaonyesha member wa kundi hilo wakikimbia kurejea Uganda wakitokea nchini afrika kusini ambako hivi sasa kuna machafuko makubwa kufuatia vurugu na unyama unaofanywa na wazawa dhidi ya wahamiaji nchini humo

Kibonzo hicho chenye utani pia alikindikia caption kwakuwataka waganda kutazama matajiri wakirudi huku wakiwa wamefulia vibaya watakapokuwa nchini Uganda.

Kwa sasa nchini Uganda kumekuwa na tetesi kuwa Ivan amerejea Uganda yapata wiki sasa na hana mpango wakurudi Afrika kusini hadin hali itakapokuwa sawa.

Member wengine wanaotarajiwa kurejea Uganda ni pamoja na Katsha na King Lawrence

Comments are closed.