ZARI THE BOSSLADY: SINA MAHUSIANO NA DIAMOND NI KAZI TU

ZARI THE BOSSLADY: SINA MAHUSIANO NA DIAMOND NI KAZI TU

Like
768
0
Monday, 10 November 2014
Entertanment

Baada ya stori kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kufuatia picha zinazowaonyesha wasanii wawili wakiwa pamoja katika mapozi tofauti mithili ya watu waliokwenye mahusiano yani diamond na Zari the bosslady wa Uganda  hatimae majibu yamepatikana.

mwishoni mwa wiki iliyopita kwa watumiaji wa mtandao wa instagram haikuwa tena kitu kipya kwao kuona picha na tetesi za diamond na Zari mwanamuziki kutoka Uganda mwenye mafanikio kibiashara zikipostiwa kila mara

Screenshot_2014-11-06-17-52-19 Screenshot_2014-11-07-15-30-29

kupitia mahojiano kati ya zari na mtandao wa big Eye ug zari ameeleza kuwa hizo picha ni sehemu ya Video ya wimbo alioshirikiana na Diamond wakati inashutiwa Bongo na wala hawana mahusiano ya kimapenzi

kuhusu wimbo huo lini unatoka Zari amedai atazindua wimbo huo kwenye party yake ya all white Ciroc itakayofanyika  December 18th ndani ya Club Guvnor.

hizi ni baadhi ya picha za Boss lady huyo kutoka Uganda mwenye mafanikio makubwa kibiashara

A_CgKpiCcAAnWy2.jpg-large A_R-H0fCIAA63zt.jpg-large A_X2qQZCYAAzv0b.jpg-large A_xX-cuCMAEdkC6.jpg-large BAfx6n-CYAAhJgV.jpg-large BBDbCECCUAIogab.jpg-large

 

 

Comments are closed.