zawadi nono mwenye taarifa kuhusu dewji

zawadi nono mwenye taarifa kuhusu dewji

Like
701
0
Monday, 15 October 2018
Local News

Familia ya mfanyabiashara wa Tanzania  Mohammed Dewji imetangaza zawadi nono ya shilingi billioni moja kwa yeyote atakaetoa taarifa muhimu zitakazofanikisha kupatikana kwa mfanyabiashara huyo alietekwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *