ZOEZI LA KUOPOA MIILI LAENDELEA TIANJIN

ZOEZI LA KUOPOA MIILI LAENDELEA TIANJIN

Like
173
0
Monday, 17 August 2015
Global News

MIILI ya watu imeendelea kuopolewa zaidi katika eneo lilitokea mripuko katika mji wa bandari wa Tianjin, nchini China, na kufanya idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mkasa huo kufikia 122.

Hayo yanafanyika wakati wataalamu wakiharakisha kuondosha kemikali hatari katika eneo hilo na waendesha mashitaka wanajitayarisha kuwachunguza wale wote waliohusika na maafa hayo.

Zaidi ya watu 700 walijeruhiwa na wengine 95, wakiwemo wazima moto kadhaa.

Comments are closed.