MAMILIONI YA RAIA SRI LANKA WAPIGA KURA

MAMILIONI YA RAIA SRI LANKA WAPIGA KURA

Like
393
0
Thursday, 08 January 2015
Global News

Mamilioni ya Raia wa Sri Lanka wanapiga kura, uchaguzi ambao unampambanisha Rais wa nchi hiyo MAHINDA RAJAPAKSA na Mshirika wake wa zamani.

Bwana RAJAPAKSA,ambaye alikuwa madarakani tangu mwaka 2005, aliitisha uchaguzi miaka miwili iliyopita huku wachambuzi wa mambo wakitabiri kuwa atashinda uchaguzi huo.

SLI2

SLI3

Comments are closed.