18 MBARONI VURUGU ZA ILULA

18 MBARONI VURUGU ZA ILULA

Like
819
0
Thursday, 26 February 2015
Local News

SIKU moja baada ya kuibuka kwa vurugu kubwa kati ya Askari Polisi na Wananchi wa Kijiji cha Ilula Kilolo Mkoani Iringa watu 18 wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kujihusisha na tukio hilo.

Vurugu hizo zimeibuka February 24 mwaka huu baada ya mwanamke mmoja kudaiwa kuuawa na askari Mkoani Iringa wakiwa doria kwa lengo la kuwakamata watu wanaokunywa pombe kabla ya muda huo kufika.

Wakati Askari watano wakiwa wamejeruhiwa kwenye tukio hilo wananchi wawili pia wamejeruhiwa na kulazwa katika hospitali Teule ya Wilaya ya Kilolo,Ilula.

IRINGA IRINGA2

Comments are closed.