3 MBARONI KWA KUTEGA BOMU NAIROBI

3 MBARONI KWA KUTEGA BOMU NAIROBI

Like
607
0
Wednesday, 09 September 2015
Global News

POLISI wamewakamata watu watatu waliongia na bomu katika sehemu mpya ya maduka mjini Nairobi.

Watu waliondolewa kwenye sehemu hiyo ya Garden City,ili kuwawezesha polisi kulitegua bomu hilo.

Mkuu wa polisi katika mji wa Nairobi alimewaambia waandishi wa habari  kwamba bomu hilo la kutengenezwa liligunduliwa  na  walinzi kwenye kituo cha usalama cha sehemu hiyo ya  maduka.

Mkuu huyo amearifu kuwa watuhumiwa hao watatu wanachunguzwa ili kubaini , iwapo wana uhusiano na magaidi, na hasa kundi la al-Shabab la nchini Somalia.

Comments are closed.