56% WAFAULU ELIMU YA MSINGI

56% WAFAULU ELIMU YA MSINGI

Like
305
0
Thursday, 06 November 2014
Local News

BARAZA la Mitihani la Tanzania limeidhinisha kutoa matokeo ya mtihani wa kumaliza Elimu ya msingi uliuofanyika September 10 hadi 11mwaka huu.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Dokta CHARLES MSONDE ameeleza kuwa jumla ya watahiniwa laki nane mia nane na themanini na tano, wa shule za msingi walisajiliwa kufanya mtihani huo wakiwemo wasichana Laki nne ishirini na tisa elfu mia sita na ishirini na nne sawa na asilimia 53.17 na wavulana Laki tatu sabini na nane elfu mia nne sitini na moja ambyo ni sawa na asilimia 46.83.

 MSONDE

Dokta MSONGE amethibitisha kuwa jumla ya watahiniwa 451,392 kati ya watahiniwa 792,118 waliofanya mtihani huo wamepata alama 100 ya ufaulu kati ya alama 250 ikiwa ni asilimia 56.99

MSONDE

tazama matokeo hapa

http://necta.go.tz/psle2014/

Comments are closed.