Kamati ya Ufundi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi -UKAWA imetoa tamko la kulaani Ukiukwaji wa Kanuni za Bunge Maalum la Katiba linaloendelea mjini Dodoma pamoja na kulaani shutma dhidi ya viongozi wa dini zinazotolewa na Bunge hilo kuwa nao wamejiunga na UKAWA.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara Mheshimiwa JOHN MNYIKA wakati Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam
Naye Mjumbe wa Kamati hiyo ambaye pia ni Mwanasheria wa CHADEMA Mheshimiwa TUNDU LISSU alifafanua kwa upande wake.
Mh. Mnyika akizungumzia swala hilo