Kwa mujibu wa Grazia Magazine Kanye west na mkewe Kim Kardashian wameandaa mwanamitindo ambae kazi yake kubwa itakuwa ni kutengeneza mavazi ya mtoto wao ambayo yatafanana na mavazi ya mama yake Kim kardashian.
mwanamitindo huyo ambae atakuwa analipwa kwa kazi hiyo pia yupo kwenye timu ya wabunifu wa mavazi ya Kim Kardashian