Msanii anaefanya vizuri Afrika mara baada ya kutambulika rasmi kwenye Ngoma ya Azonto rapa kutoka Ghana Tiffany hivi karibuni amekuwa na wakati mgumu mara baada ya picha za video za mkanda wake wa ngono kuanza kusambaa.
Tiffany amedai kuwa mkanda huo ulirekodiwa miaka sita nyuma wakati akiwa kwenye mahusiano na Frank White baba wa mtoto wa Tiffany mwenye miaka mitano
Tiffany amedai kuwa aliachana na jamaa huyo kwa sababu alichoka kuwa punching Bag na hivyo aliamua kuachana nae, hata hivyo Tiffany amedai Frank White amekuwa akimuandama mara kwa mara lakini hkudhani kama angeweza kufanya hivyo ukizingatia yeye ni baba na alitakiwa kufuatilia zaidi malezi ya mtoto wao
kupitia ukurasa wake wa twitter aliandika maneno haya kuonyesha kutoshangazwa saana na tukio hilo kitendo kilizidisha mijadala huko Ghana
fuatili mahojiano yake na kituo kimoja cha redio hapa
http://youtu.be/DFH9q_ROqP8