Mwanamke mmoja amefanyiwa upasuaji na kutolewa sehem ya ubongo wake ili kuepuka kifafa kilichosababishwa na kusikiliza muziki wa Neyo
Zoe Fennessy mwenye umri wa miaka 26 ameelezea jinsi hali hiyo ilivyokuwa ikimtesa kupelekea kutapika mara kwa mara kila anaposikia muziki wa msanii huyo
Nyimbo alizoshirikishwa kama aliyofanya na Pitbull’s “Give Me Everything,” Calvin Harris’ “Let’s Go,”, and Calvin Maynard’s “Turn Around zinahusika kumfanya awe kwenye hali hiyo kwa mujibu wa Daily Mail