KUTANA NA MWANAUME ALIETUMIA $ 150,000 KUJIBADILI SURA AFANANE NA KIM KARDASHIAN

KUTANA NA MWANAUME ALIETUMIA $ 150,000 KUJIBADILI SURA AFANANE NA KIM KARDASHIAN

Like
495
0
Thursday, 18 December 2014
Entertanment

 

 

Jordan James Parke mwenye umri wa miaka 23 huenda ndie shabiki mkubwa zaidi duniani wa mwanamitindo ambae ni drama queen Kim Kardashian mke wa rapa Kanye West

2421D12100000578-2878560-image-a-9_1418869567190

2421D11D00000578-0-image-a-8_1418865861563

2422931200000578-2878560-image-a-87_1418885237541

2422939300000578-2878560-image-m-99_1418885608355

 

Jordan alipohojiwa kwenye gazeti la The Sun alidai kuwa amezama kimapenzi kwa msanii huyo baada ya kutazama kipindi cha Tv cha Kim kinachokwenda kwa jina la Keeping Up With The Kardashians alinukuliwa akisema

‘I love everything about Kim,’ ‘She’s the most gorgeous woman ever. Her skin is perfect, her hair, everything about her.’

In a bid to resemble his idol, Jordan has undergone more than 50 cosmetic procedures including Botox, lip and cheek fillers, eyebrow tattoos and laser hair removal.

 

Comments are closed.