ATAKAEKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA MALI ZAKE KUBINAFSISHWA

ATAKAEKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA MALI ZAKE KUBINAFSISHWA

Like
278
0
Tuesday, 06 January 2015
Local News

MKUU WA KITENGO wa Cha kupambana na dawa za Kulevya nchini Kamanda GODFREY NZOWA amesema kuwa mtu yoyote atakayekamatwa na Dawa za Kulevya mali zake zitabinafsishwa.

Akizungumza na EFM kuhusiana na mapambano dhidi ya Dawa za kulevya, Kamanda NZOWA ameeleza kuwa vita hiyo inaendelea hadi kuhakikisha kuwa matumizi ya Dawa hizo hapa nchini yanakoma.

Comments are closed.