SERIKALI IMETUMIA BILIONI 881 KWENYE MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI

SERIKALI IMETUMIA BILIONI 881 KWENYE MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI

Like
233
0
Thursday, 08 January 2015
Local News

MENEJA utaalamu Elekezi kutoka Wakala wa Nishati Vijijini -REA GISSIMA NYAMOHANGA amesema serikali imetumia Shilingi Bilioni 881 katika mradi wa kusambaza umeme vijijini unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini –REA Awamu ya Pili.

NYAMOHANGA ameeleza hayo kwenye sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa Umeme Vijijini unaofadhiliwa na REA uliofanyika katika Kata ya Shishiyu wilayani Maswa mkoani Simiyu.

Comments are closed.