mvutano umetokea katika Bunge la Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya wabunge wa upinzani kupinga sheria mpya ambayo ina kipengele kinachotaka uchaguzi wa Rais na wabunge ufanyike baada ya sensa kufanyika.
Wapinzani wamesema hatua hiyo haikubaliki kwani hatua hiyo itamfanya Rais wa nchi hiya JOSEPH KABILA kubakia Madarakani hadi mwaka 2016 ambao ni mwaka wa Uchaguzi.