JANUARY 13 MWAKA huu Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake wa Taifa Rais JAKAYA MRISHO KIKWETE imefanya kikao chake cha kawaida cha siku moja Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Pamoja na mambo mengine baadhi ya mambo yaliyojadiliwa na Kamati Kuu ni pamoja na, Sakata la Akaunti ya tegeta Escrow, Waliopewa adhabu kwa kukiuka maadili ya chama, Soko la Mahindi na Ratiba ya vikao vya chama.