(1)
Audio Playermwanzilishi wa simba B anatueleza sababu zilizo pelekea kuanzishwa kwa timu hiyo na wakina nani walikua waanzilishi.
Audio Player(2)Lengo la kuamua kuanzisha simba B ni nini
Audio Player(3)Kwa nini wachezaji wengi waliotoka simba B wapo katika klabu nyingine na hili simba wanalitazavipi.
Audio Player(4)Changamoto mnazokutana nazo ndani ya simba mnakabiliana nazo vipi? Je viongozi wa simba wanatoa ushirikiano katika hili.
Audio Player
(5)Kuliwahi kutokea hali ya kutoelewana kati yenu na viongozi wa juu wa simba nahii nikutokana na ninyi kugoma kuwatumia wachezaji kutoka katika simba ya wakubwa ,kwa nini mlishindwa kufata agizo la viongozi.