WAFANYABIASHARA WAKUBWA WAINGIA KWENYE ORODHA YA WATU MAFISADI ZAIDI

WAFANYABIASHARA WAKUBWA WAINGIA KWENYE ORODHA YA WATU MAFISADI ZAIDI

Like
321
0
Wednesday, 02 December 2015
Global News

WAFANYIBIASHARA wakubwa wametajwa kuwa ni miongoni mwa watu mafisadi zaidi sawa na maafisa wa polisi Barani Afrika.

 

Hii ni kwa mujibu ya kura ya maoni iliyofanywa na shirika la kuchunguza ufisadi duniani “Transparency International”.

 

Ni mara ya kwanza kwa wafanyabiashara kutajwa kuwa mafisadi wakubwa Barani na Shirika hilo limeongeza kwamba matumizi mabaya ya mamlaka yanasababisha ongezeko la umasikini, na kuwanyima raia mahitaji muhimu.

Comments are closed.