ZAHANATI KUNUFAIKA NA MITAMBO YA SOLA

ZAHANATI KUNUFAIKA NA MITAMBO YA SOLA

Like
276
0
Friday, 04 December 2015
Local News

ZAIDI ya mitambo ya sola 30 imetolewa kwa jamii mbalimbali yenye
uhitaji zikiwemo Zahanati, vituo vya afya, ofisi za watendaji kata  na
shule mbalimbali kwa ajili ya kuwasaidia kuboresha huduma zao
wanazotoa kwa jamii.

 

Hayo yamesemwa na Meneja masoko wa kampuni ya Sola ya  Mobisol Seth- Joseph Zikhali wakati akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya kutangaza ofa mpya ya msimu wa sikukuu kwa wateja wake.

Comments are closed.