TAKRIBANI WATU MILIONI 700 DUNIANI WANAISHI KWENYE UMASIKINI ULIOKITHIRI

TAKRIBANI WATU MILIONI 700 DUNIANI WANAISHI KWENYE UMASIKINI ULIOKITHIRI

Like
274
0
Monday, 02 May 2016
Local News

WAKATI Tanzania Leo ikiungana na Mataifa mengine Duniani kuadhimisha siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, imeelezwa kuwa watu takribani milioni 700 duniani wanaishi katika hali ya umasikini uliokithiri.

Hayo yameelezwa na ofisa Habari wa ofisi ya ya umoja wa mataifa Tanzania USIA NKOMA wakati akizungumza katika siku ya kwanza ya maadhimisho ya Uhuru mkoani Mwanza.

USIA amesema kuwa watu wengi wameendelea kushuhudia kuongezeka kwa ukosefu wa usawa hata baada ya nchi kufaulu kupata wastani wa maendeleo ya kiuchumi.

 

Comments are closed.