Mabinti wa Tanzania Waishio Mazingira Magumu Watinga hatua ya Final Baada ya Kuwatandika Uingereza Mabao 2-1

Mabinti wa Tanzania Waishio Mazingira Magumu Watinga hatua ya Final Baada ya Kuwatandika Uingereza Mabao 2-1

Like
661
0
Monday, 14 May 2018
Sports

Baada ya Marekani kutandikwa Mabao 5-0, kutoka kwa mabinti wa Tanzania waishio mazingira magumu.

Leo ilikuwa ni zamu ya Timu ya Uingereza ambapo wamepokea kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa mabinti hao kufanikiwa kutinga fainali za Kombe la Dunia Mabao ya Tanzania yamefungwa na Mastura Fadhili na Asha Omari.

Kikosi hicho kitapambana na Brazil katika fainali ya Kombe la Dunia (la Watoto wanaoishi mazingira magumu) kati ya Timu ya Tanzania na Brazil itachezwa Jumatano, jijini Moscow nchini Urusi.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *