Kikosi cha Rayon Sort ya Rwanda
Kubwa kwenye #SportsHQ Leo Ni Rayon Sport ya Rwanda yaja na mastaa wao kibao kuja kuikabili Yanga SC kesho. Je, Kwa matokeo yaliyopita Unaipa nafasi gani Yanga kuelekea mchezo huu.
Azam FC kujipanga upya msimu ujao baada ya kufanya vibaya msimu huu na kushindwa kutwaa ubingwa #SportsHQ