ACT KIMELITAKA JESHI LA POLISI LITENDE HAKI KWA VYAMA VYOTE VYA SIASA

ACT KIMELITAKA JESHI LA POLISI LITENDE HAKI KWA VYAMA VYOTE VYA SIASA

Like
286
0
Thursday, 29 January 2015
Local News

CHAMA cha Mabadiliko na Uwazi – ACT kimelitaka jeshi la Polisi litende haki kwa vyama vyote nchini kwa kuacha uwanja huru wa kufanya siasa pamoja na kujenga amani ya kudumu kwa watanzania.

 

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho MOHAMMED MASSAGA amesema kitendo kinachofanywa na Jeshi la Polisi kuwanyima Uhuru Wanasiasa kufanya maandamano ni kinyume cha haki ya Mtanzania ambaye anapaza sauti katika kufikisha ujumbe wake.

Comments are closed.