AHUKUMIWA MIAKA 75 JELA KWA KULAWITI MWANAE NA KUMPA HIV

AHUKUMIWA MIAKA 75 JELA KWA KULAWITI MWANAE NA KUMPA HIV

Like
318
0
Thursday, 05 March 2015
Global News

Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 44 amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 75 jela nchini Kenya

Hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya watoto ya Nakuru baada ya kukutwa na hatia ya kushiriki mapenzi na mototo wake mwenye umri wa miaka 12 na kumuambukiza virusi vya ukimwi

Comments are closed.