AJALI: WATU 3  WAMFARIKI NA  WENGINE 5 WAMEJERUHIWA KWA AJALI YA GARI, BOKO, DAR

AJALI: WATU 3 WAMFARIKI NA WENGINE 5 WAMEJERUHIWA KWA AJALI YA GARI, BOKO, DAR

Like
630
0
Monday, 07 May 2018
Local News

AJALI : Watu 3 wamefariki dunia na wengine 5 wamejeruhiwa katika ajali ambayo imetokea jioni hii eneo la Boko Magengeni Manispaa ya Kinondoni ajali hiyo imehusisha magari matatu ikiwemo gari la kubebea michanga na basi la wanafunzi

Mkuu wa Trafiki Wilaya ya Kawe Inspekta msaidizi wa Polisi Makame akizungumza na TV E,/ Efm habari amethibitisha na kusema miili ya Marehemu imepelekwa kuhifadhiwa katika hospitali ya rufaa ya Mwananyamala ambako pia majeruhi wamepelekwa kwa ajili ya matibabu, wengine wamepelekwa hospitali ya Lugalo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *