Ajali ya basi yaua 42 Kenya

Ajali ya basi yaua 42 Kenya

Like
643
0
Wednesday, 10 October 2018
Global News

Ajali: Watu zaidi ya 40 wafariki katika ajali ya basi Kenya

Watu 42 wamefariki dunia nchini Kenya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupata ajali kwenye barabara kuu ya Nairobi-Kisumu.

Mashuhuda wanasema kuwa ajali hiyo ilitokea leo mwendo wa saa kumi na moja alfajiri.

Vyombo vya Habari nchini Kenya vinaripoti Kuwa ajali hiyo mbaya ilitokea katika eneo la Fort Ternan Kaunti ya Kericho.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *