AKON AFUNGUA CHUO CHA MAFUNZO YA UZALISHAJI WA UMEME WA JUA

AKON AFUNGUA CHUO CHA MAFUNZO YA UZALISHAJI WA UMEME WA JUA

Like
390
0
Friday, 29 May 2015
Entertanment

Nyota ya Afrika kutoka Senegal inayong’aa ughaibuni  Akon  amefungua  chuo kitakachotoa mafunzo ya uzalishaji wa umeme wa Solar/ nguvu ya nishati ya jua  kupitia mradi wake wa Akon Lighting Africa.

Katika mradi huo akon amelenga kufikisha umeme kwa waafrika wapatao milioni mia sita.

Akon amezindua taasisi hiyo siku ya jumanne na kwa mujibu wa maelezo mafunzo yataanza msimu wa kiangazi huko Bamako katika mji mkuu wa Mali ambapo maengeneer na wajasilia mali wa afrika watapata ujuzi wa kuzalisha umeme wa jua

Katika kuhakikisha hilo linafanikiwa wataalam kutoka bara la Ulaya watachangia kutoa vifaa na mipango ya mafunzo

Comments are closed.