ALICHOKISEMA TIFFANY BAADA YA MKANDA WAKE WA NGONO KUVUJA

ALICHOKISEMA TIFFANY BAADA YA MKANDA WAKE WA NGONO KUVUJA

Like
675
0
Tuesday, 11 November 2014
Entertanment

 

Msanii anaefanya vizuri Afrika mara baada ya kutambulika rasmi kwenye Ngoma ya Azonto rapa kutoka Ghana Tiffany hivi karibuni amekuwa na wakati mgumu mara baada ya picha za video za mkanda wake wa ngono kuanza kusambaa.

Tiffany amedai kuwa mkanda huo ulirekodiwa miaka sita nyuma wakati akiwa kwenye mahusiano na Frank White baba wa mtoto wa Tiffany mwenye miaka mitano 

tiffany2

Tiffany amedai kuwa aliachana na jamaa huyo kwa sababu alichoka kuwa punching Bag na hivyo aliamua kuachana nae, hata hivyo Tiffany amedai Frank White amekuwa akimuandama mara kwa mara lakini hkudhani kama angeweza kufanya hivyo ukizingatia yeye ni baba na alitakiwa kufuatilia zaidi malezi ya mtoto wao

kupitia ukurasa wake wa twitter aliandika maneno haya kuonyesha kutoshangazwa saana na tukio hilo kitendo kilizidisha mijadala huko Ghana

croped tiff

fuatili mahojiano yake na kituo kimoja cha redio hapa

http://youtu.be/DFH9q_ROqP8

 

Comments are closed.