ANDY MURRAY ATWAA TAJI LA ROGERS

ANDY MURRAY ATWAA TAJI LA ROGERS

Like
242
0
Monday, 17 August 2015
Slider

Nyota namba tatu kwa ubora wa mchezo wa tenesi muingereza Andy Murray ametwaa ubingwa wa michuano ya Rogers

Murray ametwaa ubingwa huu baada ya kumshinda mpinzani wake Novack Djokovic kwa seti 6-4 4-6 6-3 katika mchezo uliochukua muda wa saa tatu.

Kwa ushindi huu Murray anavunja mwiko wa kupoteza mapambano manane dhidi ya Novack ambae anashilikia nafasi ya kwanza kwa ubora.

Murray amemzawadia ushindi huo kocha wake Amelie Mauresmo,aliyepata mtoto

Comments are closed.