ANGELA MERKEL AUNGA MKONO MPANGO MPYA WA UWEKEZAJI BARA LA ULAYA

ANGELA MERKEL AUNGA MKONO MPANGO MPYA WA UWEKEZAJI BARA LA ULAYA

Like
184
0
Tuesday, 03 March 2015
Global News

KANSELA  wa  Ujerumani  ANGELA  MERKEL  ameeleza  kuunga  kwake  mkono mpango  mpya  wa  uwekezaji  katika  Bara  la  Ulaya.

Mpango  huo  wa Uwekezaji  umependekezwa  mwaka  jana  na  Rais  wa  Halmashauri  ya Umoja  wa  Ulaya  JEAN-CLAUDE JUNCKER  ambapo ni   mpango  wa  Euro Bilioni 300 wa  kuifanya  bora  miundo Mbinu  katika  mataifa  ya  Ulaya.

MERKEL  ameeleza  uungaji  wake  mkono  katika  mpango  huo , lakini amesema  mageuzi  zaidi  na  makubaliano  ya  Biashara  huru  na Marekani  na  Canada  yanahitajika.

 

 

Comments are closed.