ANTONIO VALENCIA AWAOMBA RADHI WACHEZAJI NA MASHABIKI WA MAN U

ANTONIO VALENCIA AWAOMBA RADHI WACHEZAJI NA MASHABIKI WA MAN U

Like
483
0
Wednesday, 11 March 2015
Slider

Antonio Valencia ameomba radhi kwa wachezaji wenzake wa Manchester United pamoja na mashabiki baada ya kufanya makosa yaliyopelekea Arsenal kuiondoa Man u kwenye robo fainali za kombe la FA mapema jumatatu.

Kitendo cha timu hiyo kufungwa katika uwanja wa nyumbani kimeipa pigo timu nzima pamoja na mashabiki.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Antonio Valencia aliwaomba radhi wadau na wapenzi pamoja na wachezaji na kuwataka kuangalia mbele zaidi

ann

ann2

Comments are closed.