ARSENAL YAICHAPA 2-1 QPR

ARSENAL YAICHAPA 2-1 QPR

Like
242
0
Thursday, 05 March 2015
Slider

Klabu ya Arsenal hapo jana imefanikiwa kujinususru na balaa la kuondolewa kwenye michuano ya Champions ligi kwa ushindi wa magoli mawili ndani ya dakika tano kwenye mchezo kati yao na QPR huko katika viwanja vya Loftus Road siku ya jana ambapo mechi hiyo ilimalizika kwa Arsenal kuibuka na ushindi wa 2-1

Kocha wa timu ya Arsenal alikuwa kwenye wakati mgumu baada ya kupoteza mchezo kati yao na Monaco baada ya kupokea kichapo lakini kwa ushindi huo wa jana unaiweka klabu hiyo kwenye nafasi nzuri kwenye msimu ujao

Pongezi kwa Oliver Giroud na Alexis Sanchez kwakuwainua mashabiki wao hapo jana

Comments are closed.