AU: MKUTANO WA KUKOMESHA NDOA ZA UTOTONI KUANZA LEO ZAMBIA

AU: MKUTANO WA KUKOMESHA NDOA ZA UTOTONI KUANZA LEO ZAMBIA

Like
195
0
Thursday, 26 November 2015
Local News
UMOJA wa Afrika leo unaanza mkutano wa siku mbili utakaofanyika Zambia kukomesha ndoa za utotoni barani humo.
Inakadiriwa kwamba mwanamke mmoja kati ya watatu barani Afrika ameolewa kwa ruhusa ya wazazi, walezi na viongozi wa kidini katika umri wa miaka 18. Idadi hiyo inatarajia kuongezeka ifikapo mwaka 2050.
Nyingi ya ndoa hizo za mapema hufanyika vijijini, ambako utamaduni bado unanguvu.

Comments are closed.