AUDIO: MWENDELEZO WA MAJIBU YA MKONGWE KATIKA SOKA ATHER MWAMBETA KUPITIA MAKAO MAKUU YA MICHEZO

AUDIO: MWENDELEZO WA MAJIBU YA MKONGWE KATIKA SOKA ATHER MWAMBETA KUPITIA MAKAO MAKUU YA MICHEZO

Like
547
0
Thursday, 05 February 2015
Slider

Baada ya jana Ather Mwambeta kuishia kwa kutaja kikosi cha Simba tangu alivyojiunganayo leo anaendelea

Ather anataja kikosi cha Yanga kilichoitesa Simba kwakuifunga miaka mitano

Ni mchezo gani bora nje na ndani ya Tanzania ambao haujawahi kutokea kwa upande wake

kwanini? Tanzania ingekuwa juu kisoka kama tungekuwa na kina Samatha wengi

yeye amecheza soka kwa mafanikio je katika familia yake kuna mtu ambae anaweza kufuata nyayo zake?

Comments are closed.