AUDIO: YALIYOJIRI KWENYE SPORT HEADQUARTER LEO FEB 03

AUDIO: YALIYOJIRI KWENYE SPORT HEADQUARTER LEO FEB 03

Like
550
0
Tuesday, 03 February 2015
Slider

KENETH anaelezea ubora wa klabu za zamani na utofauti wa klabu za sasa.

Nini kifanyike ili timu yetu ya taifa iweze kufanya vizuri

Nitakribani miaka 26 sasa imepita tangu kikosi cha timu ya taifa taifa stars kushiriki katika michuano ya mataifa Africa na kwa nini haikuweza kushiriki kwa mara nyingine.

Nini kikwazo katika mchezo wa soka tanzania

MOHAMED MWAMEJA

Ilikuaje ukahusishwa katika sakata la usajili dhidi ya keny mkapa

AFRICAN SPORTS

Mara baada ya klabu ya AFRICAN SPORT kupata nafasi ya kupanda katika ligi kuu nchini katibu mkuu wa klabu hiyo AHMED aeleza mikakati ya timu hiyo.

Comments are closed.