AUDIO: YALIYOJIRI KWENYE SPORT HEADQUARTER LEO FEB 04

AUDIO: YALIYOJIRI KWENYE SPORT HEADQUARTER LEO FEB 04

Like
427
0
Wednesday, 04 February 2015
Slider

ASSA MWAMBETA ninani alitokea wapi na alianza kucheza soka lini.

MWAMBETA akiwa anaishi ilala kota pia aliendelea kucheza mpira katika timu mbali mbali.

ASSA anaelezea jinsi alivyo hamia simba ambayo ilikuwa ikijulikana kama Sunderland.

Alikitumikia kikosi hicho cha Sunderland kwa misimu mingapi.

KATIBU MKUU WA AFRICANSPORTS

KHATIBU ENZI:

Nini kiliipoteza African sports kwenye ramani ya soka kwa kipindi kirefu na ilikuwa wapi kwa kipindi chote hicho

kuna mikakati gani kuhakikisha timu inafanya vizuri ligi kuu

Comments are closed.