BAADHI YA MIFUMO INAYOWAKABILI WANAWAKE VIJIJINI

BAADHI YA MIFUMO INAYOWAKABILI WANAWAKE VIJIJINI

Like
343
0
Tuesday, 03 March 2015
Local News

IMEELEZWA kuwa Wanawake waliovijijini wanapambana na mifumo zaidi ya mmoja ikiwemo mfumo Dume, Utandawazi, Wizi pamoja na aina nyingine ya Ukandamizi wa Rangi ya Ngozi na Mwili.

Akizungumza na EFM Mtafiti Shirikishi Jamii AGNES LUKANGA amesema kuwa mabadiliko katika mfumo Kandamizi na Unyonyaji yanaletwa na Wanaokandamizwa na kunyonywa hasa walio pembezoni wenyewe.

 

Comments are closed.