BARACK OBAMA: HATUPO KWENYE VITA DHIDI WAISLAMU BALI MAGAIDI WANAOUCHAFUA UISLAMU

BARACK OBAMA: HATUPO KWENYE VITA DHIDI WAISLAMU BALI MAGAIDI WANAOUCHAFUA UISLAMU

Like
248
0
Thursday, 19 February 2015
Global News

RAIS BARACK OBAMA ameliambia kongamano dhidi ya misimamo mikali ya kidini akisema kuwa kuwa wako kwenye vita si na Waislamu bali na magaidi waliouchafua Uislamu.

Bwana OBAMA amesema ni sharti dunia ikabiliane na Itikadi zilizopindishwa na makundi kama Islamic State yanayochochea vita na kuwapa vijana mafundisho yenye misimamo mikali ya imani ya dini .

Rais huyo wa Marekani ameeleza hayo katika mkutano wa siku tatu unaofanyika mjini Washington ambapo amesema dunia inatakiwa kukabiliana na makundi ya aina hiyo.

Comments are closed.