Benchi la ufundi la Yanga laanza kumeguka, Kocha Msaidizi Shadrack Nsajigwa Abwaga Manyanga

Benchi la ufundi la Yanga laanza kumeguka, Kocha Msaidizi Shadrack Nsajigwa Abwaga Manyanga

Like
732
0
Tuesday, 05 June 2018
Sports

Huku hali ikiwa tete ndani ya Klabu ya Yanga SC na baadhi ya wajumbe wa kamati tendaji kuachia ngazi nalo benchi la ufundi laanza kumeguka ambapo kocha msaidizi na nahodha wa zamani wa timu hiyo Shadrack Nsajigwa “FUSO” kuachia ngazi na kutoa ujumbe mzito kwa wanayanga

Timu ya Yanga Sc Tangia aondoke kocha wake mkuu Lwandamina kuondoka ndani ya timu hyo Yanga haifanyi vizuri ampapo imeweza kushinda mechi moja tu dhidi ya Mbao Fc.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *