BINTI AATHIRIWA NA NEYO

BINTI AATHIRIWA NA NEYO

Like
295
0
Thursday, 13 November 2014
Entertanment

Mwanamke mmoja amefanyiwa upasuaji na kutolewa sehem ya ubongo wake ili kuepuka kifafa kilichosababishwa na kusikiliza muziki wa Neyo

Zoe Fennessy mwenye umri wa miaka 26 ameelezea jinsi hali hiyo ilivyokuwa ikimtesa kupelekea kutapika mara kwa mara kila anaposikia muziki wa msanii huyo

Nyimbo alizoshirikishwa kama aliyofanya na Pitbull’s “Give Me Everything,” Calvin Harris’ “Let’s Go,”, and Calvin Maynard’s “Turn Around zinahusika   kumfanya awe kwenye hali hiyo kwa mujibu wa Daily Mail

Comments are closed.