Bobi wine akataa kuitwa mwanasiasa

Bobi wine akataa kuitwa mwanasiasa

Like
644
0
Monday, 15 October 2018
Global News

Mbunge Bobi Wine amesema kuwa hataki na hapendi kuitwa Mwanasiasa kwa sababu neno ‘Mwanasiasa’ katika bara la afrika huhusishwa na mambo mabaya.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *