BREAKING NEWS: Watu 7 wanaripoatiwa kufariki dunia Mkoani Kigoma

BREAKING NEWS: Watu 7 wanaripoatiwa kufariki dunia Mkoani Kigoma

Like
637
0
Wednesday, 06 June 2018
Global News

Waokoaji wakipambana kulinyanyua busi lilopata ajali

Baadhi ya Watu waliofika kwenye eneo la ajali

Namba ya Bus lililopata ajali

BREAKING NEWS: Watu 7 wanaripoatiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa Baada Basi la Abiria (PrinceAmida) lililokua likitokea Kigoma kuelekea Tabora kugongana na treni eneo la Gungu Relini Soweto Mkoani Kigoma. Endelea kusikiliza Efm kwa taarifa zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *