BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA SHERIA YA UDHIBITI WA AJIRA ZA WAGENI

BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA SHERIA YA UDHIBITI WA AJIRA ZA WAGENI

Like
189
0
Thursday, 19 March 2015
Local News

BUNGE limepitisha Muswada wa Sheria ya udhibiti wa ajira za wageni wa mwaka 2014 ,ambapo pamoja na mambo mengine umeainisha vipengele muhimu vya ajira kwa wageni na wazawa.

Hata hivyo Bunge hilo limesisitiza Serikali kupitia taarifa za waomba ajira wageni ili kubaini uwezo kuhusu ajira wanazoomba na mienendo yao kijamii.

Sheria hiyo pia inawataka Wananchi kuwepo katika ajira zote kutokana na sifa zao.

Comments are closed.