SUMAYE: ELIMU INAYOHITAJIKA INATOA MAJIBU KWA MATATIZO KATIKA JAMII

SUMAYE: ELIMU INAYOHITAJIKA INATOA MAJIBU KWA MATATIZO KATIKA JAMII

Like
232
0
Thursday, 19 March 2015
Local News

WAZIRI Mkuu Mstaafu,FREDERICK SUMAYE,amesema Elimu inayohitajika Kipindi hiki, inatoa majibu kwa matatizo katika jamii.

SUMAYE ameeleza hayo mjini Dodoma alipokuwa akifungua Mkutano wa Mwaka wa Chama Cha Wenye Shule na Vyuo Binafsi Tanzania-TAMONGSCO.

Amebnainisha kuwa Elimu lazima impe mhusika uwezo wa kumudu Mazingira ya sasa ambayo yanabadilika kwa kasi na inayomza mwanafunzi maarifa yaliyovumbuliwa na wengine.

Comments are closed.